Free Web Hosting Provider - Web Hosting - E-commerce - High Speed Internet - Free Web Page
Search the Web

Welcome to Tanzanian Association Athens

Home Photo Tz in Greece Habari mpya Muhimu

Welcome to the Land of Kilimanjaro

Wapendwa Watanzania wote wa hapa Ugiriki na Ulimwenguni kote,tunapenda kuwakaribisha katika ukumbi wetu huu wa kujumuisha Watanzania wote wa Ugiriki na wa nje ya Ugiriki katika kupata taarifa mbali mbali zinazotokea ambazo zinawahusu Watanzania wote kwa ujumla.

Ni matumaini yetu makubwa kuwa mtaifurahia website hii na mtachangia katika mambo mbali mbali ambayo nyinyi mnayahisi kuwa yatatuletea mafanikio. Tumeweka sehemu ya maoni ambayo tutapenda kuwasikia nini mnachokishauri,vile vile nini kinacholukera. Kwa niaba ya Uongozi napenda kuwakaribisha wote na Ahsanteni kwa kutembelea katika site hii.

A.Said(NURAMO)

Kidokezo

 

Kidokezo

  • Webdesigner
  • Abdulnuramo
  • Bsc Business Information System
  • Yorkshire College U.K

Usikose kutembelea

  1. Tanzania Greece
  2. Kinachokukera
  3. Immigration lawy

 

none

  • Ndugu mtanzania,kumbuka
  • kuwa website hii  haihusiani
  • na Umoja wa Tanzania Ugiriki,
  • kwa kuwa hakuna utekelezaji
  • wa  Kumiliki Website kama
  • wenzetu  wa nchi nyengine.
  • Il pia inakusudia kuwajulisha
  • matokeo yote yanayotokea
  • huko Ugiriki kwa niaba ya
  • Watanzania na sio Chama
  • cha Watanzania
  • Ahsanteni